Hapa wasamalia wema waiangalia ajali hiyo iliyotokea barabara ya Nyerere eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam ambapo ilisababisha magari yapatayo matatu likiwemo pick up mali ya Maktech, Daladala pamoja na lori.
Dereva wa gari aina ya Pick Up (mwenye shati jeupe) akitafakari ajali yake.
Pick up liligongwa mpaka likatumbukia kwenye mtaro.
Dareva wa hilo gari (mwenye shati jeupe) akiangalia gari lilivyokuwa limeharibika.
Daladala lenye ruti zake za Gongo la Mboto kwenda Ubungo ndilo liligonga Pick Up mpaka ikatumbukia mtaroni. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyefariki mbali na dereva wa Pick Up ambaye alipata mshituko wa mgongo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: