Waziri wa mambo ya kigeni wa Palestina Bwana Riyad Al-Maliki jana alianza ziara ya nchi za Kiafrika kuomba kuugwa mkono uanzishwaje wa taifa huru la Palestina kwenye Baraza Kuu La Umoja wa Mataida badaye mwezi Septemba mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa na wizara ya mambo ya kigeni imesema kuwa Bwana al-Maliki jana alikutana na raisi wa Gabon, Bwana Ali Ondimba, katika ziara yake ya kwanza kabisa barani Afrika.
Al-Maliki amefuatana na mabalozi wote walioko Afrika.
Toa Maoni Yako:
0 comments: