Timu nzima ya Clouds Fm akijadili mambo mawili matatu pindi ilipotembelea Chuo Kikuu cha Ushiriki kilichoko mjini Moshi kuitambulisha Serengeti Fiesta 2011 inayotarajia kufanyika weekend hii tarehe 16 July katika uwanja wa Ushirika.
 Mtangazaji wa Clouds Fm Ruben Ndege (aliyevaa kofia nyeusi) ambaye ni kiongozi wa timu nzima ya Clouds Fm iliyopo mjini Moshi na Arusha akitoa shukrani zake mara baada ya kukaribishwa na Waziri wa Michezo na Burudani wa Chuo cha Ushirika kilichopo Moshi, Bw. Robert Msabi. Ujumbe huo wa Clouds Fm ulitembelea chuoni hapo kuitambulisha Sengeti Fiesta 2011 sambamba na kutoa zawadi mbali  mbali ikiwemo tiketi.
 Mtangazaji wa Clouds Fm Arnold Kayanda akifanya mahojiano na Waziri wa Michezo na Burudani wa Chuo cha Ushirika kilichopo Moshi, Bw. Robert Msabi.
Mtangazaji wa Clouds Fm Arnold Kayanda akifanya mahojiano na Mwanadada Beatrice ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Cha Ushirika kilichopo mjini Moshi katika msimu wa dhahabu unaoendelea na Serengeti Fiesta 2011.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: