Kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu watu wengi wamekuwa wakisoma magazeti kwenye meza za kuuzia magazeti kwa vile wengi wao hawana uwezo wa kununua kwa sababu ya vipato vyao kuwa vidogo na wengine hupelekea kuomba kusoma na kulipa tsh.100 na kurudisha kwa muuzaji (angalia picha iliyonaswa na kamera ya habari na matukio kituo cha Manyanya jijini Dar es Salaam uone jinsi watu waling'ang'ania kusoma magazeti yaliyoyouzwa mezani).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: