Hiki ndicho kituo panapotibiwa magonjwa ya aina mbali ya kutumia vyakula asilia. Samalia ni kituo kinachojishughulisha sana na kuishauri jamii juu ya Lishe stahili kwa makuzi ya watoto pamoja na jamii nzima kwa ujumla.

Pia wanashughulika na Tiba, kwa wagonjwa yote sugu yaliyoshindikana kutibiwa hospitali. Wao wanayatibu kisanyansi kwa kutumia matunda, mimea na viungo.

'CHAKULA NI DAWA YAKO NA DAWA NI CHAKULA CHAKO'

Ukitaka kuwapata watembelee Wapo soko jipya, Ubungo Kisiwani.

+255 786 906 935
+255 784 295 039
+255 717 052 006
+255 787 310 570
+255 717 946 909
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: