Hapa ndipo studio za TBC-1 studio zilipo ambapo zamani palikuwa panaitwa TvT.
Mafundi mitambo wa TBC-1 ambayo zamani ilikuwa ikiitwa TVT wakifuatilia matangazo waliyokuwa wakirusha live. Wa pili kutoka kushoto, Elisha Elia mtangazaji wa TBC-1 aliyekuwa akiongoza matangazo hayo ya live siku hiyo.
Mafundi mitambo wa TBC- pamoja na watangazaji nao hawakuwa nyuma kurusha live matangazo yao.
Mmoja ya waandishi waandamizi wa TBC akiwajibika.Msondo ngoma wakiongozwa na Muhidin Gurumo nao walikuwepo.
Kikundi cha ngoma za asili kijulikanacho kwa jina la Sisi Tambala hakikuwa nyuma katika kutoa burudani siku hiyo ya uzinduzi wa TBC.
Bwilo Kitujime (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa na viongozi wenzake wa TBC.

Shekh Omari Musa mmoja wa viongozi TBC akiongea na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mohammed Seif Khatibu. 

Wafanyakazi wa TBC, Jovitha(Kulia) na Amina.

KWELI HAO WADADA WAMEPENDEZA SANA, HAO ULIOWATAJA JOVITHA NA AMINA
ReplyDelete