KCI & Jojo wakizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi kwenye ofisi za TIGO kuhusu onesho lao litakalofanyika leo usiku, ambapo wanamuziki hao wameahidi kuwarusha wapenzi wao vilivyo huku wakisindikizwa na wanamuziki wa hapa bongo akiwemo Nakaya na K-Lyn, kushoto kabisa ni Meneja masoko wa TIGO Kelvin Twisa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: