Pages
(Move to ...)
Home
Mtaa Kwa Mtaa
Michuzi Blog
Jiachie Blog
MK Computer Tweaks
▼
Showing posts with label
KITAIFA
.
Show all posts
Showing posts with label
KITAIFA
.
Show all posts
Wednesday, 1 April 2026
DRC Yatinga kombe la Dunia baada ya miaka 50, Tuanzebe shujaa dhidi ya Jamaica
›
Guadalajara, Mexico — Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeandika historia mpya kwa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia k...
Maghembe Avutia Wawekezaji China, Wapanga Kuwekeza Tanzania
›
Na Dodoma, Machi 31, 2026 — Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ngwaru Jumanne Maghembe, amekutana na kufanya m...
Sunday, 29 March 2026
Rais Ruto aomboleza Kifo cha Mbunge wa Ol Kalou
›
Na Mwandishi Wetu Rais wa Kenya, William Ruto, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ol Kalou, David Njuguna Kia...
Saturday, 28 March 2026
William Ruto Ampongeza David Keter kwa Ushindi wa Mchujo UDA Emurua Dikirr
›
Na Mwandishi Wetu -Narok, Kenya. Rais wa Kenya, William Ruto, amempongeza mwanasiasa David Keter maarufu kama Dollarline kwa kushinda katika...
Tuesday, 24 March 2026
Tanzania, Austria Kuimarisha Ushirikiano wa Viwanda na Biashara
›
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Denis Londo, amesema Tanzania iko tayari kuimarisha ushirikiano wa ki...
Monday, 23 March 2026
Waziri Kombo abainisha Mafanikio na Vipaumbele vya Wizara kwa Kamati ya NUU
›
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa B...
Elie Mpanzu Asaini Mkataba Mpya Simba SC, Mohammed Dewji Apongezwa
›
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumbakisha kiungo wake mahiri, Elie Mpanzu, baada ya kusaini mkataba mpya wa...
Sunday, 22 March 2026
Stanbic Bank Tanzania Yatwaa Tuzo Tatu za Kimataifa, Yaimarisha Huduma kwa Wateja Maalum
›
Kaimu Mkuu wa Idara Wateja Maalum wa Benki ya Stanbic Tanzania, Beatrice Kisoka (wa tatu kulia) akipokea tuzo ya Benki Bora ya Kimataifa kwa...
Wednesday, 18 March 2026
William Ruto Awekeza Mabilioni Kukuza Vipaji vya Michezo Kenya
›
Nairobi, Kenya: Rais wa Kenya, William Ruto, amesema serikali yake imejipanga kwa dhati kukuza vipaji vya vijana na kuendeleza sekta ya mich...
Morocco Watangazwa Mabingwa wa AFCON 2025 Baada ya CAF Kubatilisha Matokeo ya Fainali
›
Afrika: Shirikisho la Soka Barani Afrika, Confederation of African Football, limetangaza rasmi kuwa Morocco national football team ndio mabi...
Friday, 13 March 2026
Prof. Shemdoe akutana na Balozi wa Tanzania Ufaransa, Wavutia uwekezaji Bonde la Msimbazi
›
Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaran...
Thursday, 12 March 2026
Kogamano la Kimataifa la utamaduni kufanyika Zanzibar Mei 2026
›
Wasanii kutoka Jamhuri ya Korea wakionesha moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea...
Tuesday, 10 March 2026
Prof. Kabudi akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Botswana, London
›
Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba J. Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mam...
›
Home
View web version