Pages

Sunday, 8 March 2026

Wanawake Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi washiriki maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, Kongwa


Wanawake kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Leo tarehe 08 Machi, 2026 wameshiriki katika maadhimisho ya siku wanawake duniani ambayo kimkoa yamefanyika katika uwanja wa shule ya msingi Mbande iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.




No comments:

Post a Comment