Pages

Thursday, 28 August 2025

Matukio ya Uzinduzi wa Kampeni ya Chama Cha Mapinduzi Kawe, Dar es Salaam

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Tanganyika Packers, Dar es Salaam, Agosti 28, 2025, kwa uzinduzi rasmi wa kampeni zake za Uchaguzi Mkuu akiwa na mgombea mwenza wake, Dkt. Emmanuel Nchimbi, mbele ya maelfu ya wananchi.


















No comments:

Post a Comment