Pages

Sunday, 11 September 2022

Timu ya Namungo Yaichapa Bao 1-0 Timu ya Ruvu Shooting Michuano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ya NBC

Hassan Kabunda wa Namungo FC (kulia) akimiliki mpira huku akizongwa na Haruna Chanongo wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC kwenye uwanja wa Majaliwa katika halmashauri ya Ruangwa mkoa wa Lindi Namungo FC ilishinda 1-0.
Hassan Kabunda wa Namungo FC (kulia) na Shaban Msala wa Ruvu Shooting wakiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC kwenye uwanja wa Majaliwa katika halmashauri ya Ruangwa mkoa wa Lindi, Septemba 11, 2022. Namungo FC ilishinda 1-0. (P icha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment