WALAZIMIKA KUHAMA MAKAZI YAO KUKWEPA ADHA YA MAFURIKO
Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofauti nchini zimeendelea kuleta madhara,ambapo Wilayani Kilombero Wakazi wa Kijiji Cha Nyange Kichangini kitongiji Cha Msolwa Stesheni wameladhimika kuyahama makazi yao kutokana na mafuriko
No comments:
Post a Comment