Pages

Monday, 16 September 2019

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MAAGIZO MAZITO MRADI WA UJENZI WA MACHINJIO YA KISASA VINGUNGUTI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akukagua eneo la Machinjio ya Ng’ombe na Mbuzi Vingunguti jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua ujenzi wa machinjio ya kisasa ambao unasuasua.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kukagua eneo la Machinjio ya Ng’ombe na Mbuzi Vingunguti jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua ujenzi wa machinjio ya kisasa ambao unasuasua. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment