Pages

Tuesday, 6 August 2019

WAJASIRIAMALI WAKIWA KAZINI MTAA WA AGGREY JIJINI DAR ES SALAAM

 Kamera Michuzi imenasa wakazi wa jiji Dar es Salaam  wajasiriamali maarufu kama machinga wakiandaa biashara  zao ambazo ni CD  leo katika Mtaa wa Aggrey wilaya ya Ilala Kariakoo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


Wajasiliamali maarufu kama machinga wakiendelea na kazi katika mtaa wa wa Aggrey wilaya ya Ilala Kariakoo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment