Pages

Wednesday, 17 July 2019

KOCHA WA CAMEROON MHOLANZI CLARENCE SEEDORF ATIMULIWA

Kocha wa timu ya Taifa ya #Cameroon, Mholanzi Clarence Seedorf amefutwa kazi baada ya kushindwa kufikia lengo alilopewa la kutetea kombe la Mataifa ya Afrika. Katika masharti ya mkataba wake wa miaka minne alitakiwa kutetea ubingwa, kufuzu AFCON 2021, na Kombe la Dunia 2022.

No comments:

Post a Comment