Pages

Friday, 26 April 2019

ZIARA YA NAIBU WAZIRI TAMISEMI KUFUATIA AGIZO LA MHE.RAIS KUKAMILISHA UJENZI WA STENDI NJOMBE

 Mratibu wa mradi ambaye pia ni Meneja wa TARURA Halmashauri ya Mji Njombe Mhandisi Rais Tembo akitoa ufafanuzi wa shughuli inayoendelea katika eneo la maegesho ya daladala kwa Naibu Waziri TAMISEMI Ndg. Joseph Kandege
Naibu Waziri TAMISEMI Ndg. Joseph Kandege akisikiliza maelekezo ya shughuli zinazoendelea kwenye ujenzi wa soko la kisasa Njombe kutoka kwa Mhandisi Msimamizi wa Mkandarasi Justine Mboka.
 Naibu Waziri TAMISEMI Ndg, Joseph Kandege akitoa maelekezo kwenye ujenzi unaoendelea wa kituo kipya cha Mabasi Njombe.
 Shughuli za Ukamilisha ujenzi wa stendi mpya ya mabasi Njombe ukiendelea
 Fundi akiendelea na kazi ya utengenezaji fremu za madirisha kwa ajili ya majengo ya stendi mpya
Naibu Waziri TAMISEMI Ndg. Joseph Kandege akifuatilia maelezo ya mchoro wa jengo la kusubiria abiria katika maegesho ya mabasi makubwa kutoka kwa Mhandisi Mkazi wa mradi wa ujenzi wa stendi Didas Joseph(mwenye karatasi)

No comments:

Post a Comment