Pages

Thursday, 4 April 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAKAZI MBALIMBALI WA MTWARA VIJIJINI WAKATI AKIELEKEA MASASI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Newala hawapo pichani wakati aliposimama kukagua barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Newala hawapo pichani wakati akipita mara baada ya kukagua barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.

No comments:

Post a Comment