Pages

Monday, 11 February 2019

ZIARA YA KAIMU BALOZI WA MAREKANI MKOANI MARA

Kaimu Balozi wa Marekani Dkt. Inmi Patterson alipotembelea mkoani Mara leo (Februari 11). Katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mh. Vincent Anny Naanu (kulia), Bi. Karolina Mpapula, Katibu Tawala mkoa wa Mara (wa pili Kulia), na Bw. Emmanuel Kisongo (kushoto) Afisa Elimu Mkoa wa Mara.

No comments:

Post a Comment