Pages

Friday, 26 October 2018

MSHINDI WA TIGO FIESTA SUPA NYOTA APATIKANA NA WASANII WATEMBELEA DULA LA MWANZA


Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2018 mkoa wa Mwanza, Elisayo akifanya yake kwenye Steji na kuibuka mshindi wa kuwakilisha mkoa huo kwenye fainali zitakazofanyika Dar Es Salaam

Meza ya Majaji kutoka kushoto ni Richard Mavoko, Asam Mchomvu, Fid Q,Roofer na Dj Frank
Wasanii wakipata maelezo mbalimbali kwenye Duka la Tigo lililopo barabara ya Nyerere mjini Mwanza

No comments:

Post a Comment