Pages

Sunday, 21 October 2018

ELISHA NA MARY WAUAGA UKAPELA


Bw. Elisha Mathias Lukula na Mary Francis Mtuka wakiwa katika sura ya furaha mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la Kristo Mfalme lililopo Tabata jijini Dar es Salaam. Na kufuatiwa na sherehe ya nguvu iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Hongereni sana kwa kuuaga ukapela.
Mapozi kama yoteeee!

No comments:

Post a Comment