Pages

Tuesday, 24 April 2018

WATU WANAODHANIWA KUWA WAARIFU WASALIMISHA SILAHA ZA MOTO KWENYE OFISI YA KIJIJI

Watu wasiojulikana wamesalimisha silaha za moto aina ya GOBORE sita pamoja na bunduki aina ya SHOT GUN huku moja ikiwa imetolewa mtambo,katika ofisi ya mtendaji wa kijiji cha KILAGANO wilaya ya SONGEA vijijini Mkoani RUVUMA .

Kukamatwa kwa silahi hizo ni mwendelezo na msako unaofanywa na jeshi la polisi ili kupambana na waarifu wanaotumia silaha za moto katika kufanya matukio ya kiarifu.

HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

No comments:

Post a Comment