Pages

Tuesday, 3 January 2017

TUMEKUSOGEZEA MKASA MZIMA WA KIJANA ANAYESHIKILIWA NA JESHI LA POLISI RUVUMA KWA KUSADIKIWA KUMUUA BABA YAKE MZAZI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Zubery Mwombeji.
---
Kijana anayejulikana kwa jiana la Patrick Malindisa ( 29 ) mkazi wa Namanyigu kata ya mshangano Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, anashikiliwa na jeshi kwa kusadikiwa kumuua baba yake mzazi anitwaye Atanasi Malindisa. Mkasa Mzima huu hapa.

No comments:

Post a Comment