Waziri wa kilimo ,Mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba akizindua tamasha la urafiki katika viwanja vya Ndege mjini Morogoro jana Juni 2 ,tamasha lililoandaliwa na ushirikiano wa makanisa katika mkoa wa Morogoro na kuongozwa na mhubiri wa kimataifa toka nchini Canada Dr Peter Youngren
| Waziri wa kilimo ,Mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba ambae ni mbunge wa jimbo la Iramba akiwapungia mikono wananchi wa Morogoro wakati akiwasili katika viwanja vya Ndege kuzindua tamasha la Urafiki |
| Waziri Nchemba akimsikiliza mhubiri wa kimataifa toka nchini Canada Dr Peter Youngren |
| mhubiri wa kimataifa toka nchini Canada Dr Peter Youngren akiwa katika picha ya pamoja na waziri wa kilimo ,Mifugo na Uvuvi Bw Mwigulu Nchemba |
| Waziri Nchemba akipokelewa na RC Morogoro Dkt. Kabwe Steven Kabwe |
| Waziri Nchemba akiwasili uwanja wa mkutano |
| mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Kabwe Steven Kabwe kulia akiwa na waziri Nchemba |
| Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Kabwe Steven Kabwe kulia akimwongoza waziri Nchemba |
| mhubiri wa kimataifa toka nchini Canada Dr Peter Youngren akiteta jambo na waziri Nchemba |
| Mapokezi ya waziri Nchemba Morogoro |
| Kwaya ikitumbuiza katika uwanja huo |
| Waziri Nchembe akizindua tamasha hilo |
| mhubiri wa kimataifa toka nchini Canada Dr Peter Youngren akiendelea kuhubiri |
| Wananchi wakiwa katika viwanja hivyo |
| Mtoto ambae alikuwa hasikii toka azaliwe akijaribiwa baada ya kuombewa na kupona |
| Mwanamke aliyekuwa kapooza akitembea baada ya maombi |
| Mmoja kati ya watu walioanguka kwa mapepo uwanjani wakati wa maombi |
| Mwanamke ambae alikuwa na matatizo ya kusikia kwa miaka zaidi ya 15 akitoa ushuhuda baada ya kuombewa na mhubiri wa kimataifa toka nchini Canada Dr Peter Youngren kushoto |
| mhubiri wa kimataifa toka nchini Canada Dr Peter Youngren akihubiri katika tamasha la Urafiki mjini Morogoro |
No comments:
Post a Comment