Pages

Sunday, 13 September 2015

MAMA YETU KAUWAWA KIFO CHA KUSIKITISHA, WALIMWENGU NISAIDIENI

I WANT JUSTICE FOR MY MOTHER.... Najua wengi mtataka kujua WHAT HAPPENED... It's a very long SAD STORY... in short Baba yangu wa kambo akishiriana na ndugu zake na dada zake walimuua mama yangu... Tarehe 14/05/2015 kwa kumkata mapanga hadi kufa.

Sababu ya kifo cha mama yangu ikiwa ni WIVU na CHUKI... Walimnyanyasa/kumsimanga kwa muda mrefu sana lakini ALIVUMILIA. Wakajaribu kumloga sana na hata watoto wake lakini MUNGU HAKURUHUSU... HAWAKUWEZA. 

Ndipo walipoamua kufanya waliyoyafanya... TIME WILL COME, I WILL TELL YOU EVERYTHING. I can't stop crying... EVERY SINGLE DAY... THE PAIN IS... Please help me, NAHITAJI MWANASHERIA WAKUJITOLEA... JAPO wapo WANASHERIA WANAOJITOLEA... ASANTE. 

Pichani mnaowaona ni ndugu zangu ni ndugu zangu... wakiwemo mama wadogo/wakubwa, Baba wadogo/wakubwa... kaka/dada zangu... na anayelia juu ya jeneza ni kaka yangu na mavazi haya ya MAGUNIA ni baada yakukosa kabisa vazi ambalo tungevaa kwa ajili yakumuombolezea mama yetu... wengi hata wanakijiji walitembea peku na mavazi haya kwa jinsi walivokuwa wakimjua Victoria (mama yangu)wanalia mpaka kesho na kulaani kitendo ALICHOFANYIWA. 
SIO VIJANA... SIO WATOTO... SIO WAZEE ... WOTE WANAMLILIA SANA MAMA YANGU, STILL HAWAAMINI NA HATUAMINI KAMA KWELI HAYUPO..... HAKUNA VAZI LILILOTUFAA KTK JAMBO HILI....ILA MAGUNIA... KWA WALICHOTUTENDEA HILI NDILO VAZI LILILOTUFAA... MUNGU ANAONA... Wapo wanaoelewa mtu anapovaa vazi hili... na hapa ni (MORTUARY) in kiswahili tunaita Mochwari ... VICTORIA ~ SHE WAS A GREAT WOMAN, THEY KILLED HER JUST LIKE THAT... ONLY GOD KNOW HOW THEY WILL PAY, THEY WILL PAY... MUST.

Ndugu zangu wote WALIAMUA KUMWACHIA MUNGU... YEYE MWENYEWE ATULIPIE JAMBO HILI NA NAJUA ATALIPA... WAUAJI HAWAKUKAA RUMANDE HATA WEEK 2...!!!!??? ETI HAKUNA ALIYEPATIKANA NA HATIA... WHAAAAT... !!!! WAPO WATU WAKO MAABUSU KWA MAKOSA KAMA HILI LEO NI MWAKA WA 7 WENGINE 10 WENGINE 15 NAKUENDELEA MPAKA LEO KESI ZAO HAZIJASOMWA WALA KUFIKIRIWA...!!!??? BUT IN TWO WEEKS KESI YA MAMA YANGU ILIISHIA HIVYO... 

Hebu walimwengu nisaidieni nielewe... Katika Kesi kesi kama hii mtu anaweza kuwa free muda kama huo...!!!! Eti imeonekana hawana hatia...!!!? Hakuna hata uchunguzi uliofanyika wala nini... inawezekana kweli...!!!???, Katika kipindi cha wiki mbili file limeshaenda kwa mwanasheria ameshasoma tayari mashtaka na ameona hawana hatia na waachiliwe...!!!!? Kweli...!!!!?

No comments:

Post a Comment