Pages

Saturday, 11 July 2015

HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM YAKUTANA... WAJUMBE WAINGIA WAKIWA WAMENUNA


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho leo Julai 11, 2015.
 Rais Kikwete, akiipitia katiba ya CCM kabla ya kuanza kwa kikao hicho, Kushoto ni Makamu mwenyekkiti wa chama hicho (Zanzibar), Dkt. Ali Mohammed Shein.
 Mh. Membe akifurahia jambno na Mhe. Lowassa ndani ya ukumbi wa NEC
 Mh. Dkt. Asha Rose Migiro, akisalimiana na Mh. Lowassa, ndani ya ukumbi wa NEC
 Mh. Magufuli akifurahia jambo na Mh. Makamba
 Mh. Mwigulu Nchemba, (kushoto), Mh. Titus Kamani, (katikai) na Nape wakipongezana.

No comments:

Post a Comment