Pages

Tuesday, 31 March 2015

MBUNGE GODFREY MGIMWA AUNGA MKONO UANZISHWAJI WA VICOBA VIJIJI VYOTE VYA KATA YA WASA, ACHANGIA MILIONI 2.4, ASEMA UBUNGE BADO ANAUTAMANI

Mbunge wa jimbo la Kalenga Bw  Godfrey Mgimwa

Wananchi  wanachama wa VICOBA  kata ya  Wassa  wakiwa katika uzinduzi wa VICOBA
Wanachama wa VICOBA kata ya  wasa wakiwa katika hadfla ya uzinduzi
Mbunge wa  jimbo la kalenga Bw  Mgimwa wa  pili  kulia akiteta jambo
katibu  wa mbunge wa Kalenga Bw Martine  Simangwa kulia na mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Mgimwa wakiwa katika  uzinduzi wa VICOBA kata ya  wasa
Wananchi  wa kata ya Wasa wakiwa katika  uzinduzi wa Vicoba.

No comments:

Post a Comment