Pages

Tuesday, 10 March 2015

ABRAH - USILIE

Abrah ni mwanamuziki mpya ambaye alishawahi kutoa nyimbo na Makamua na Hakeem 5 miaka miwili nyuma lakini kwa alikuwa busy na chuo alifeli kuzisimamia ila round kaja tofauti na kiuhakika Usilie ni nyimbo inayozungumzia jamii mzima kiujumla yenye kipato cha chini na hali ngumu ya maisha

No comments:

Post a Comment