Pages

Wednesday, 15 October 2014

HONGERA MSANII STEVE NA MKEO ESTHER KWA KUAGANA NA UKAPELA

Ilikuwa ni OKtoba 11, 2014 pale mwanamuziki Steve RNB alipoamua kufunga pingu za maisha na Mwanadada Esther. Kajunason inawatakia maisha marefu katika ndoa yenu.
Busu la mahaba...
Bi. Esther akiwa katika pozi la furaha.
Bwana Harusi Steve akiwa katika picha  ya pamoja na wapambe.
Bw&Bi. Steve wakiwa pamoja na wasindikizaji wao wa kiume.
Wasindikizaji wa Kike wakipata ukodak.
Picha ya Pamoja...

No comments:

Post a Comment