Pages

Wednesday, 13 August 2014

MAHOJIANO YA KWANZA PRODUCTION NA JHIKO MANYIKA A.K.A JHIKOMAN



JhikoMan akitumbuiza kwenye Tamasha la Majahazi 2013


Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan aliyejiunga nasi moja kwa moja kutoka Helsinki Finland mwishoni mwa mwezi Julai

Amezungumza mengi kuhusu ziara yake ya Ulaya iliyoanza mwezi wa nne, maonyesho aliyofanya, kazi alizorekodi na pia watu aliowashirikisha kwenye albamu yake mpya ijayo.

Amezungumzia IMANI ya RASTA na pia MUZIKI WA TANZANIA kwa ujumla

Ameongea mengi mema

KARIBU UJIUNGE NASI

No comments:

Post a Comment