Pages

Thursday, 22 May 2014

WASHINDI WA MPIRA WA MEZANI (HEINEKEN FOOSBALL) WAKWEA PIPA KUELEKEA IBIZA, HISPANIA

Safari ndo imeiva: Washindi wa mpira wa mezani, Eric Ducan Lissa (Wa kwanza kushoto) na Ntoli Mwaikombo wakiwa na mizigo yao kabla kukaguliwa uwanjani Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakijiandaa kwa safari ya Ibiza, Hispania kuangalia 'Live Screen ya fainali za kombe la mabingwa Ulaya (UEFA) kwenye sehemu maalum iliyotengwa na Heineken kwa ajili ya watu maalum. Eric alitabiri ushindi wa Atlectico Madrid dhidi ya Real Madrid.

No comments:

Post a Comment