Pages

Friday, 23 May 2014

PUMZIKA KWA AMANI MAREHEMU MAXIMILIAN NGODA

Leo tumepokea kwa masikitiko kifo cha Mwanahabari Marehemu  MAXIMILIAN NGODA, ambapo kwa taarifa zilizotufikia zinasema kuwa alikuwa akiugua kwa muda mrefu.

Tutakukumbuka kwa upendo na ucheshi wako Maximilian Ngoda, Mungu akulipe kwa mema yote ulitenda chini ya jua.

Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali pema Peponi.

No comments:

Post a Comment