Pages

Monday, 26 May 2014

HEINEKEN TANZANIA YAWABURUDISHA WADAU WA MPIRA KWA KUONYESHA FAINALI ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE JIJI DAR, REAL MADRID ILISHINDA KWA MAGOLI 4 -1

 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akizungumza na Meneja wa Heineken Tanzania Uche Unigwe katika hafla maalum ya kuangalia fainali za michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyofanyika kwenye Hoteli ya Goldern Tulip Dar es Salam juzi kati ya Real Madrid na Atletico Madrid.
 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF Jamal Malinzi (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari katika hafla maalum iliyoandaliwa na Heineken ya kuangalia fainali za michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyofanyika juzi kwenye Hoteli ya Goldern Tulip Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment