Pages

Wednesday, 22 January 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MATUMIZI YA RASILIMALI ZETU ZA GESI ASILIA, MAFUTA NA MADINI KWA AMANI NA MAENDELEO YA TANZANIA, WHITESANDS HOTEL, TAREHE 20-22 JANUARI 2014

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  na baadhi ya viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Dini waliohudhuria Kongamano la siku mbili linalohusu Rasilimali za Gesi Asilia, Mafuta na Madini kwa Amani na Maendeleo ya Tanzania linalofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment