Pages

Monday, 28 October 2013

MTANDAO WA WANAMUZIKI TANZANIA WAFANYA WARSHA KWA WANAMUZIKI NA WADAU WA MUZIKI JIJINI DAR

 Mwenyekiti wa mtandao wa wanamuziki Tanzania, John Kitime akiongea wakati wa warsha ya siku moja ya wanamuziki na wadau wa muziki katika kujadili mambo mbali mbali ikiwemo mustakabali mzima wa mwenendo wa muziki nchini Tanzania. Warsha hiyo imefanyika leo Oktoba 28, 2013 katika mgahawa wa Nyumbani jijini Dar es Salaam.
Wanamuziki na wadau wa muziki wakifuatilia warsha hiyo.
Mwenyekiti wa mtandao wa wanamuziki Tanzania, John Kitime akitoa maelekezo kwa wasanii na wadau wa muziki waliohudhuria warsha hiyo.

No comments:

Post a Comment