Jana Jumamosi ya Tarehe 5.10.2013 ndugu Donald Byakwaga na Mkewe
Selina walitimiza Mwaka mmoja wa ndoa, na kufanya sherehe fupi nyumbani
kwao Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Tunawatakia maisha mema na yenye
baraka.
Wakikata keki.
Mc wa shughuli hiyo, Mchungaji Samweli akitoa machache.
Bwana Donald akimlisha keki mkewe Selina.
Wageni waalikwa.
Pongezi.
Mama mdogo wa Bwana Harusi, Mama Cresensia akitoa zawadi.
Mrs CA nae alikuwepo katika kutoa zawadi,
Wakishukuru na kuomba kwa pamoja.
No comments:
Post a Comment