Pages

Thursday, 26 July 2012

SUALA LA MAPISHI HALINA JINSIA

 Kijana Joseph Stima akijiandalia chakula cha mchana, jambo ambalo si la kawaida kwa vijana wengi waishio mijini hasa katika jiji la Dar. Wengi hukimbilia kwa mama ntilie ama hoteli. Joseph Stima ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu Dodoma pia ni ripota wa http://mrs-ca.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment