Pages

Wednesday, 16 May 2012

MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA MJINI BUKOBA



Wakazi wa kata ya Bilele mjini Bukoba maeneo ya Omukigusha wakiwa wamepata dhahama ya maeneo yao kujaa maji kutokana na mvua kubwa zinazonyesha kwa sasa maeneo mabli mbali ya Tanzania. Picha/BukobaWadau Blog.

No comments:

Post a Comment