Pages

Saturday, 5 May 2012

KILI MUSIC AWARD WINNERS 2012 YAFANA NDANI YA UWANJA WA CCM KRUMBA, MWANZA


Mkali wa Bongo fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond akiimba jukwaani hii leo wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award iliyofanyika uwanja wa Kirumba jijini Mwanza leo.
 Barnaba Boy ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Mwimbaji Bora wa Kiume akimbo jukwaani hii leo wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award mkoani Mwanza katika Uwanja wa Kirumba leo.
 Msanii AT kutoka Zanzibar akitumbuiza jukwaani na wacheza sho wake wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award mkoani Mwanza katika Uwanja wa Kirumba leo
 Roma Mkatoli akishusha mistari
 Isha Mashauzi akifanya vitu vyake
Ben Paul nae akikimbiza 
Omy Dimpoz nae alifanya vitu vyake
DJ Choka akimsindikiza Roma Mkatoliki
 Mashabiki wakifuatilia show. Picha/Mroki Mroki.

No comments:

Post a Comment