Pages

Wednesday, 7 March 2012

TUWAPENDE WATOTO

Suala la kuwapenda watoto ni jambo jema kwa watu wote hasa kwa wasanii wa muziki, pichani anaonekana mwanadada Linnah akiwa na mwenzake Lulu akizungumza na watoto mara baada ya kuwatembelea hizi karibuni Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Watoto hao walifurahi sana, kutembelewa na msanii huyo na kuonyesha furaha zao.

No comments:

Post a Comment