Pages

Sunday, 4 March 2012

SHEREHE YA SIKU YA MWANAMKE LAFANA SANA USIKU HUU JIJINI DAR

MC wa Hafla hiyo, Regina Mwalekwa akimtambulisha, Shamim Mwasha ambaye ni Muandaaji wa Sherehe ya Mwanamke lenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani iliyofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam.
 Sherehe ya Mwanamke lenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani iliyofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam.
Shukrani za pekee kwa Blog Ya Jamii... Zaidi na Zaidi bonyeza hapa.

No comments:

Post a Comment