Pages

Friday, 2 December 2011

SHAMRA SHAMRA ZA BIRTHDAY YA CLOUDS FM LIVE ON CLOUDS TV

 Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Gospel Track Bw. Harris Kapiga akifanya mahojiano na waimbaji wa nyimbo za dini Christina Shusho na David Robert katika maadhimisho ya Clouds Fm ikifiisha miaka 12 tokea imeanzishwa.
 Muandaaji wa vipindi vya Clouds Fm Jimmy Jam akihojiwa na  Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Power breakfast Bw. Gerard Hando katika maadhimisho ya Clouds Fm ikifiisha miaka 12 tokea imeanzishwa.
 Wafanyakazi wa  Clouds Fm wakisimamia mambo yaende 'Live' bila chenga ndani ya Clouds Fm na Clouds Tv katika maadhimisho ya Clouds Fm ikifiisha miaka 12 tokea imeanzishwa.
 Muandaaji wa vipindi vya Clouds Fm Jimmy Jam (katikati) pamoja na Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Power breakfast Bw. Gerard Hando akifurahia na msanii wa muziki wa bongoflava Linex katika maadhimisho ya Clouds Fm ikifiisha miaka 12 tokea imeanzishwa.

No comments:

Post a Comment