Pages

Sunday, 27 November 2011

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHADEMA IKULU DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Kikwete, akimkaribisha mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Ikulu jijini Dar es salaam  Mbowe alioongoza timu ya vigogo wa chama hicho kufuatia maombi ya kukutana na rais, kumshauri kuhusu muswada uliopitishwa na bunge hivi karibuni wa kuunda sheria ya kuwa na tume ya kukusanya maoni ya wananvhi juu ya muundo wa katiba mpya ya Tanzania.
Rais Jakaya Kikwete (Kulia) akifurahia jambo na mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (Kushoto) pamoja na baadhi ya viongozi wa chama hicho Ikulu jijini Dar es Salaam jana mwanzoni mwa kikao chao.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa CHADEMA, pamoja na baadhi ya mawaziri na maafisa wa Ikulu muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao chao.

No comments:

Post a Comment