Pages

Monday, 28 November 2011

GODLIVER NICHOLAS ALA NONDO YAKE KATIKA CHUO KIKUU HURIA TANZANIA


Godliver Nicholas akifurahia nondo yake pamoja na wanafunzi wenzake katika mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Mhe. Mohamed Ghalib Bilali.
Godliver Nicholas akiwa katika sura ya furaha.
 Godliver Nicholas katika pozi.
Godliver Nicholas na mwanae.
Godliver Nicholas akiwa na ndugu zake walioenda kusherehea nae wakati akipata nondo yake katika mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Mhe. Mohamed Ghalib Bilali.

No comments:

Post a Comment