Pages

Tuesday, 29 November 2011

BREKING NEWS: BARABARA YA ARUSHA KARATU IMEANZA KUPITIKA

 Hatimaye mawasiliano ya barabara kati ya Arusha na Karatu yamerejea kama mwanzo barabara hiyo juzi ilishindikana kupitika baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisa kufurika Mto Kirurumo ambao ulimwaga maji mengi hivyo kusukuma mawe na magogo na kupelekea kuziba barabara pamoja na kusababisha mtu mmoja kupoteza maisha hivi sasa magari yanapita ngombe watembea kwa miguu pamoja na watalii ambao wanaenda katika hifadhi ya Ngorongoro.


 Picha na Chris Mfinanga.

No comments:

Post a Comment