Pages

Wednesday, 26 October 2011

FRANCIS MIYAYUSHO NA MBWANA MATUMLA WATAMBIANA MPAMBANO JUMAPILI

Mratibu wa mpambano wa ngumi Mohamedi Bawaziri  katikati akiwa na mkanda wa ubingwa utakaogombaniwa na mabondia Fadhili Majia (kushoto) na Juma Fundi siku ya jumapili.
Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla wakitunishiana misuri mbele ya waandishi wa habari wakati wa utambulisho wao wa mpambano wa kugombea ubingwa wa UBO jumapili hii katikati ni mratibu wa mpambano huo Mohamedi Bawaziri. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment