Pages

Saturday, 2 July 2011

YALIYOJILI SERENGETI FIESTA 2011, MUSOMA

Msanii wa muziki wa hip hop Fid Q akiwapa mistari wakazi wa Musoma waliohudhuria tamasha la Serengeti Fiesta 2011.Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Chegge na Temba wakiwasha moto ndani ya uwanja wa Karume mjini Musoma.Nyomi iliyohudhuria katika Serengeti Fiesta 2011 ndani ya Uwanja wa Karume mjini Musoma.

No comments:

Post a Comment