Pages

Tuesday, 12 July 2011

USAFI WA MAZINGIRA NI JUKUMU LETU SOTE




Wananchi wa mjini Moshi wakijaribu kuweka mazingira katika hali ya usafi japo wamekosa vitendea kazi. Ambapo kweli hali ni nzuri sana na mji unavutia sana kwa usafi.

No comments:

Post a Comment