Pages

Sunday, 17 July 2011

SERENGETI FIESTA 2011 YAWEKA HISTORIA NDANI YA ARUSHA

Mtangazaji wa Clouds Fm, Ruben Ndege a.k.a Ncha Kali (kushoto) akiweka mambo sawa na Ma DJ Mash (kati) na Ally. Dj Dulla akiwasha moto. 
 
 
 
 
 
 
 
 
Tamasha hili la Serengeti Fiesta 2011 lilifanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ni mara ya kwanza kwa tamasha hilo kufanyika uwanjani na kuhudhuriwa na watu kibao kutoka pande za mji wa Arusha.

No comments:

Post a Comment