Pages

Friday, 1 July 2011

SERENGETI FIESTA 2011 YATOA MSAADA KWA WATOTO WALIOTOKA KUTAHIRIWA

Picha hii ilichukuliwa wakati team ya Clouds Fm ilipokuwa mitaani mjini Musoma na kukutana vijana ambao walimetoka kutahiriwa, kwa roho ya huruma mtangazaji wa Clouds Fm Mully B aliwaita watoto hawa na kuwapatia msaada wa pesa ya kununulia maji waliposema wanakiu sana na wanatembea umbali mrefu kutoka walipo na kuelekea wanapoelekea.

No comments:

Post a Comment