Pages

Sunday, 12 June 2011

BABY J ANG'ARA ZANZIBAR MUSIC AWARD 2011

Mwanamuzii wa Kizazi kipya Baby J akiwa ameshikilia Tuzo yake aliyojinyakulia kwenye Zanzibar Music Award 2011, kuwa Mwanamuziki bora wa Kike wa muziki wa kizazi kipya, zilizofanyika mjini Zanzibar, kulia ni Hangai Samson aliyekabidhi tuzo hiyo.Mwamuziki wa kizazi Baby J akionyesha Tuzo yae ya pili mara baada ya kuabidhiwa tuzo na meneja wa Zenj Fm.

No comments:

Post a Comment